Jimbo Katoliki la Kilwa-Kasenga
Jimbo Katoliki la Kilwa-Kasenga (kwa Kilatini Dioecesis Kilwaënsis-Kasengaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Lubumbashi.
Askofu wake ni Fulgence Muteba Mugalu.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 54,000, ambapo kati ya wakazi 672,000 (2016) Wakatoliki ni 342,013 (50.9%) katika parokia 19.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kilwa-Kasenga kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |