Jimbo Katoliki la Kisantu
Jimbo Katoliki la Kisantu (kwa Kilatini Dioecesis Kisantuensis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kinshasa.
Askofu wake ni Fidèle Nsielele Zi Mputu.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 31,000, ambapo kati ya wakazi 1,168,836 (2016) Wakatoliki ni 898,472 (76.9%) katika parokia 31.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kisantu kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |