Jimbo Katoliki la Kolwezi
Jimbo Katoliki la Kolwezi (kwa Kilatini Dioecesis Koluezensis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Lubumbashi.
Askofu wake ni Nestor Ngoy Katahwa.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 105,184, ambapo kati ya wakazi 2,245,000 (2016) Wakatoliki ni 1,213,260 (54%) katika parokia 35.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kolwezi kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |