Jimbo Katoliki la Kongolo
Jimbo Katoliki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jimbo Katoliki la Kongolo (kwa Kilatini Dioecesis Kongoloënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Lubumbashi.
Askofu wake ni Oscar Ngoy wa Mpanga, C.S.Sp.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 44,200, ambapo kati ya wakazi 975,572 (2016) Wakatoliki ni 287,588 (29.5%) katika parokia 17.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kongolo kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |