Jimbo Katoliki la Masaka
Jimbo Katoliki la Masaka (kwa Kilatini "Dioecesis Masakaënsis") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Kampala.
Askofu wake ni Serverus Jjumba.
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 21,199, ambapo kati ya wakazi 1,901,000 (2013) Wakatoliki ni 1,011,178 (53.2%).