Jimbo Kuu la Kampala
Jimbo Kuu la Kampala (kwa Kilatini Archidioecesis Kampalaensis) ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa lina majimbo ya Kasana-Luweero na Kiyinda-Mityana, Lugazi na Masaka chini yake.
Askofu mkuu wake wa mwisho, Cyprian Kizito Lwanga, amefariki mwaka 2021, hivyo jimbo kwa sasa halina askofu.
Takwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 3,644, ambapo kati ya wakazi 3,950,800 (2013) Wakatoliki ni 1,660,500 (42.0%).
Viungo vya nje
hariri- Catholic Hierarchy
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
- (Kilatini) Hati Quemadmodum ad Nos, AAS 45 (1953), uk. 705
- [1]
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Kampala kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |