Jimbo Katoliki la Ngozi
Jimbo katoliki la Ngozi (kwa Kilatini "Dioecesis Ngoziensis") ni mojawapo kati ya majimbo 8 ya Kanisa Katoliki nchini Burundi na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo Kuu la Gitega.
Askofu wake ni Gervais Banshimiyubusa.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 2,707, ambapo kati ya wakazi 1,287,273 (2013) Wakatoliki ni 992,897 (77.1%).