Jimbo Kuu la Gitega
Jimbo Kuu la Gitega (kwa Kilatini Archidioecesis Gitegaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 8 ya Kanisa Katoliki nchini Burundi na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa lina majimbo ya Muyinga, Ngozi na Ruyigi chini yake.
Askofu mkuu wake ni Simon Ntamwana.
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 3,879, ambapo kati ya wakazi 1,353,723 (2013) Wakatoliki ni 1,093,939 (80.8%) katika parokia 42.
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Gitega kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |