Jimbo Katoliki la Popokabaka
Jimbo Katoliki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jimbo Katoliki la Popokabaka (kwa Kilatini Dioecesis Popokabakaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kinshasa.
Askofu wake ni Bernard Marie Fansaka Biniama.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 45,000, ambapo kati ya wakazi 1,002,000 (2011) Wakatoliki ni 628,900 (62.8%) katika parokia 19.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Popokabaka kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |