Jimbo Katoliki la Sakania-Kipushi
Jimbo Katoliki la Sakania-Kipushi (kwa Kilatini Dioecesis Sakaniensis-Kipushiensis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Lubumbashi.
Askofu wake ni Gaston Kashala Ruwezi, S.D.B.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 40,000, ambapo kati ya wakazi 639,000 (2012) Wakatoliki ni 290,000 (45.4%) katika parokia 16.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Sakania-Kipushi kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |