Jimbo Katoliki la Tombura-Yambio
Jimbo la Tombura-Yambio (kwa Kilatini Dioecesis Tomburaënsis-Yambioensis) ni mojawapo kati ya majimbo 7 ya Kanisa Katoliki nchini Sudan Kusini na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Yote yanaunda kanda ya Kanisa yenye makao makuu katika Jimbo Kuu la Juba.
Askofu wake ni Edward Iiboro Kussala (tangu mwaka 2008).
Takwimu
haririEneo la jimbo lina kilometa mraba 81,321, ambapo kati ya wakazi 1,691,000 (2014) Wakatoliki ni 1,072,000 (sawa na 63.4%). Parokia ziko 12, mapadri ni 32 na watawa 37,