Jumuia ndogondogo za Kikristo
Jumuiya ndogondogo za Kikristo ni jumuia maalumu za Wakristo wa Kanisa Katoliki zilizoanzishwa na Mabaraza ya Maaskofu ya Tanzania na nchi nyingine, hasa za Afrika Mashariki, ili kutekeleza upendo katika maisha ya kila siku mitaani[1].
Katika jumuia hizo waamini wanakutana ili kusoma Neno la Mungu na kusali pamoja na kushirikiana katika kukabili changamoto za mazingira yao[2].
Kufikia mwaka 2001 kulikuwa na jumuia zaidi ya 180,000 katika nchi tisa za AMECEA[3]
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ L. Magesa, Anatomy of Inculturation, Transforming the Church in Africa, (New York: Orbis, 2014), 43. See also: G. Cieslikiewicz, Pastoral Involvement of Parish-Based SCCs in Dar es Salaam, in J. Healey and J. Hinton, Small Christian Communities Today, (New York: Orbis, 2005), 101.
- ↑ "Base ecclesial communities - Oxford Reference". www.oxfordreference.com (kwa Kiingereza). doi:10.1093/oi/authority.20110803095449794 (si hai 2020-11-10). Iliwekwa mnamo 2019-09-25.
{{cite web}}
: CS1 maint: DOI inactive as of Novemba 2020 (link) - ↑ Healey, Joseph G. (2001). "Promoting Small Christian Communities in Africa through the Internet". International Journal of African Catholicism (IJAC) (kwa Kiingereza).
Viungo vya nje
hariri- Small Christian Communities, pp. 97-109.
- Basic Ecclesial Communities: Adelaide's 'new model of church'.
- Committee on Basic Ecclesial Communities of the Catholic Bishops' Conference of the Philippines. Archived 18 Mei 2021 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jumuia ndogondogo za Kikristo kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |