20 Machi
tarehe
(Elekezwa kutoka Machi 20)
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 20 Machi ni siku ya 79 ya mwaka (ya 80 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 286.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1870 - Paul von Lettow-Vorbeck, mwanajeshi wa Dola la Ujerumani, hasa nchini Tanzania
- 1922 - Carl Reiner, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1948 - John de Lancie, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1957 - Chris Wedge, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1393 - Mtakatifu Yohane wa Nepomuk, padri mfiadini nchini Ucheki
- 1619 - Kaisari Matthias wa Ujerumani
- 1993 - Polykarp Kusch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1955
- 1995 - Sidney Kingsley, mwandishi kutoka Marekani
- 2006 - Ali Muhsin al-Barwani, mwanasiasa kutoka Zanzibar
- 2014 - Hennie Aucamp, mwandishi kutoka Afrika Kusini
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Arkupo, Paulo, Sirili na wenzao, Urbisi, Martino wa Braga, Cuthbert wa Lindisfarne, Vulframi, Niseta wa Pojani, Wafiadini wa Mar Saba, Yohane wa Nepomuk, Maria Yosefa wa Moyo wa Yesu, Yosefu Bilczewski n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 19 Februari 2007 kwenye Wayback Machine.
- On This Day in Canada Archived 2012-12-05 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 20 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |