Uislamu nchini Sudan Kusini

Uislamu kwa nchi

Uislamu ni dini ndogo mno nchini Sudan Kusini. Sehemu ya Waislamu walikaribishwa Sudan Kusini baada ya Kura ya maoni ya uhuru wa Sudan Kusini.[1] Sensa ya awali ilitaja kuwa dini ya wakusini katika miaka ya 1956 ambapo ilianishwa ya kwamba sehemu kubwa ya wakazi wa huko walikuwa wafuasi wa dini za jadi au Wakristo wakati asilimia 18 walikuwa Waislamu.[2]

Marejeo hariri

  1. [1] South Sudan's Muslims welcome secession, Agence France-Presse
  2. South Sudan's Muslims welcome secession. Agence France-Presse. Iliwekwa mnamo 2011-08-15.

Viungo vya Nje hariri