Vikarieti ya Kitume ya Isiolo
Vikarieti ya Kitume ya Isiolo (Vicariatus Apostolicus Isiolansus) ni mojawapo kati ya majimbo 26 ya Kanisa Katoliki nchini Kenya, ikiwa haijafanywa dayosisi. Ilianzishwa tarehe 15 Desemba 1995 kwa kumega Jimbo Katoliki la Meru.
Makao makuu yako mjini Isiolo.
Eneo lake ni kilometa mraba 25,605, ambamo mwaka 2003 kati ya wakazi 117,100 Wakatoliki walikuwa 23,100, wakigawanyika katika parokia 12.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vikarieti ya Kitume ya Isiolo kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |