35,000

Makala kuhusu mwandishi James Tate aliyepokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi mwaka wa 1992 ilikuwa makala ya thelathini na tano elfu ndani ya wikipedia yetu! Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 10:40, 12 Januari 2017 (UTC)

Mimi binafsi namsukuru Mungu kwa kutufikisha hapo! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:06, 12 Januari 2017 (UTC)
Haya tujipe hongera! Kipala (majadiliano) 11:40, 12 Januari 2017 (UTC)

Pendekezo: Tuanzishe kitengo cha WikiSource NDANI ya wikipedia yetu

Naomba kura juu ya hoja hili.

  • WikiSource ni mradi ndugu wa wikipedia (https://wikisource.org/wiki/Main_Page). Inakusanya matini ambazo zinatoka katika vitabu vya kale (ambako hakimiliki imekwisha) au matini zilizotolewa kama maudhui huria (free content). Napeleka hoja kwa sababu Muddy ana matini zinzofaa kuhifadhiwa na kuwekwa humo.
  • Kwa sasa kuna matini chache za Kiswahili zilizopo katika mkusanyo wa multilingual kwenye tovuti ya WikiSource. (Wengi wetu hawajui!) Hali hii inamaanisha ya kwamba matini hizi ziko chini ya wakabidhi wa huko ambao hawaelewi lugha yetu.
  • tungeweza kuanzisha mradi wa wikisource kwa Kiswahili ila tu naona ugumu maana kwa kukubaliwa kuanzisha mradi mpya angalau watumiaji 3 wanapaswa kuonekana na kuhariri huko kwa miezi kadhaa.
  • napendezwa na mfano wa wikipedia za alswiki, frrwiki, barwiki na pflwiki (zote lahaja za Kijerumani) ambazo zimefungua kitengo cha matini kama sehemu ya wikipedia zao, Maanake ni jumuiya yao inayosimamia kitengo cha matini za source bila kushughulikia mradi wa pekee.
  • Nimemwuliza user:Holder wa alswiki jinsi walivyoanza akajibu ni kutafuta mapatano kati yetu halafu kupeleka ombi kwa phabricator tupate namespace ya pekee.Tukikubaliana na kufikia huko ningehamisha matini zilizopo kutoka wikisource.

Naomba weka sahihi yako chini.

Kipala (majadiliano) 01:44, 29 Januari 2017 (UTC)

Kura hii itafungwa 4 Februari 2017

Nakubali - I agree

sikubali - I disagree

Sipendelei chochote - I abstain

Hitimisho

Haya tumepatana. Atakayetusaidia ni mtumiaji Raymond wa dewiki. Aliniuliza tutumie jina gani kwa "namespace" nimeelewana na MuddyB tuendelee kama "wikamusi". "wikitabu" na mengine, kwa hiyo iwe Wikichanzo na Wikichanzo_Majadiliano. Baada ya hapo tutaanza kwa sw.wikipedia.org/wiki/Wikichanzo:Mwanzo, halafu nitahamisha kurasa zilizopo sasa katike sehemu ya majaribio. Kipala (majadiliano) 11:47, 9 Februari 2017 (UTC)

Lini itaonekana hapa?--MwanaharakatiLonga 12:16, 9 Februari 2017 (UTC)
Sasa nimepata jibu kuwa user:Raymond amepeleka ombi huko. Anasema inaweza kuchukua siku kadhaa hadi kutekelezwa. Task: https://phabricator.wikimedia.org/T158041 Patch: https://gerrit.wikimedia.org/r/337555 Kipala (majadiliano) 13:17, 14 Februari 2017 (UTC)

Review of initial updates on Wikimedia movement strategy process

Note: Apologies for cross-posting and sending in English. Message is available for translation on Meta-Wiki.

The Wikimedia movement is beginning a movement-wide strategy discussion, a process which will run throughout 2017. For 15 years, Wikimedians have worked together to build the largest free knowledge resource in human history. During this time, we've grown from a small group of editors to a diverse network of editors, developers, affiliates, readers, donors, and partners. Today, we are more than a group of websites. We are a movement rooted in values and a powerful vision: all knowledge for all people. As a movement, we have an opportunity to decide where we go from here.

This movement strategy discussion will focus on the future of our movement: where we want to go together, and what we want to achieve. We hope to design an inclusive process that makes space for everyone: editors, community leaders, affiliates, developers, readers, donors, technology platforms, institutional partners, and people we have yet to reach. There will be multiple ways to participate including on-wiki, in private spaces, and in-person meetings. You are warmly invited to join and make your voice heard.

The immediate goal is to have a strategic direction by Wikimania 2017 to help frame a discussion on how we work together toward that strategic direction.

Regular updates are being sent to the Wikimedia-l mailing list, and posted on Meta-Wiki. Beginning with this message, monthly reviews of these updates will be sent to this page as well. Sign up to receive future announcements and monthly highlights of strategy updates on your user talk page.

Here is a review of the updates that have been sent so far:

More information about the movement strategy is available on the Meta-Wiki 2017 Wikimedia movement strategy portal.

Posted by MediaWiki message delivery on behalf of the Wikimedia Foundation, 20:31, 15 Februari 2017 (UTC) • Please help translate to your languageGet help

Wanawake wa Kiafrika - tutafsiri au kutunga makala!

Wapendwa, Ofisi ya Wikipedia Afrika katika Joburg imeanzisha kampeni ya kuimarisha habari za wanawake wa Kiafrika katika matoleo muhimu ya wikipedia. Kuna orodha za wakinaamma 16 Waafrika waliotolewa kutafsiriwa. Makala ziko kwa Kiingereza. Naomba tushiriki! Orodha inaonekana hapa: https://meta.wikimedia.org/wiki/16_African_Women_Translate-a-thon/tracking Kipala (majadiliano) 09:40, 2 Machi 2017 (UTC)

Overview #2 of updates on Wikimedia movement strategy process

Note: Apologies for cross-posting and sending in English. This message is available for translation on Meta-Wiki.

As we mentioned last month, the Wikimedia movement is beginning a movement-wide strategy discussion, a process which will run throughout 2017. This movement strategy discussion will focus on the future of our movement: where we want to go together, and what we want to achieve.

Regular updates are being sent to the Wikimedia-l mailing list, and posted on Meta-Wiki. Each month, we are sending overviews of these updates to this page as well. Sign up to receive future announcements and monthly highlights of strategy updates on your user talk page.

Here is a overview of the updates that have been sent since our message last month:

More information about the movement strategy is available on the Meta-Wiki 2017 Wikimedia movement strategy portal.

Posted by MediaWiki message delivery on behalf of the Wikimedia Foundation, 19:44, 9 Machi 2017 (UTC) • Please help translate to your languageGet help

We invite you to join the movement strategy conversation (now through April 15)

05:09, 18 Machi 2017 (UTC)