1 Agosti
tarehe
(Elekezwa kutoka 1. 8.)
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Agosti ni siku ya 213 ya mwaka (ya 214 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 152.
Matukio
hariri- 1291 - Shirikisho la Uswisi linaanzishwa kwa Kiapo cha Rutli
- 1960 - Nchi ya Benin inapata uhuru kutoka Ufaransa
Waliozaliwa
hariri- 1377 - Go-Komatsu, mfalme mkuu wa Japani (1392-1412)
- 1782 - Mtakatifu Eujeni wa Mazenod, askofu Mkatoliki nchini Ufaransa
- 1867 - William Speirs Bruce, mpelelezi wa Antaktiki kutoka Uskoti
- 1885 - Georg von Hevesy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1943
- 1903 - Paul Horgan, mwandishi kutoka Marekani
- 1924 - Georges Charpak, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1992
- 1939 - Robert James Waller, mwandishi wa Marekani
- 1945 - Doug Osheroff, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1996
- 1960 - Chuck D, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1963 - Coolio, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 371 - Mtakatifu Eusebius wa Vercelli, askofu Mkatoliki nchini Italia
- 1787 - Mtakatifu Alfonso Maria wa Liguori, askofu Mkatoliki na mwalimu wa Kanisa kutoka Italia
- 1868 - Mtakatifu Petro Juliani Eymard, padri Mkatoliki kutoka Ufaransa
- 1963 - Theodore Roethke, mshairi kutoka Marekani
- 1967 - Richard Kuhn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1938
- 1970 - Otto Warburg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1931
- 1996 - Tadeus Reichstein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950
- 2009 - Corazon Aquino, Rais wa kike wa kwanza wa Ufilipino (1986-1992)
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Alfonso Maria wa Liguori, Ndugu Wayahudi saba na mama yao, Eleazari mfiadini, Sekundini wa Roma, Felisi wa Gerona, Esuperi wa Bayeux, Severo wa Auch, Friardi na Sekondeli, Yona wa Marchiennes, Etelvoldi, Petro Favre, Dominiko Nguyen Van Hanh, Bernardo Vu Van Due n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |