11 Julai
tarehe
(Elekezwa kutoka 11. 7.)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 11 Julai ni siku ya 192 ya mwaka (ya 193 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 173.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1767 - John Quincy Adams, Rais wa Marekani (1825-1829)
- 1899 - Elwyn Brooks White, mwandishi kutoka Marekani
- 1916 - Aleksander Prokhorov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964
- 1920 - Yul Brynner, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1939 - Beth Mugo, mwanasiasa wa kike wa Kenya
- 1966 - Cheb Mami, mwanamuziki kutoka Algeria
- 1967 - Jhumpa Lahiri, mwandishi kutoka Marekani
- 1977 - Edward Moss, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 472 - Anthemius, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi
- 1937 - George Gershwin, mtunzi wa muziki kutoka Marekani
- 1974 - Par Lagerkvist, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1951
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Benedikto wa Nursia, Papa Pius I, Machano wa Konya, Marsiana wa Mauretania, Leonsi wa Bordeaux, Drostano, Plasido na Sigisbati, Hidulfi, Abondi wa Cordoba, Olga wa Kiev, Ketilo, Ana An Xinzhi, Maria An Guozhi, Ana An Jiaozhi, Maria An Lihua n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 13 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 11 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |