Jimbo Katoliki la Bokungu-Ikela
Jimbo Katoliki la Bokungu-Ikela (kwa Kilatini Dioecesis Bokunguensis-Ikelaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Mbandaka-Bikoro.
Askofu wake ni Toussaint Iluku Bolumbu, M.S.C.
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 42,000, ambapo kati ya wakazi 748,000 (2015) Wakatoliki ni 288,762 (38.6%) katika parokia 15.
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Bokungu-Ikela kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |