Jimbo Kuu la Mbandaka-Bikoro
Jimbo kuu la Kikatoliki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jimbo Kuu la Mbandaka-Bikoro (kwa Kilatini Archidioecesis Mbandakana-Bikoroënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa lina majimbo ya Basankusu, Bokungu-Ikela, Budjala, Lisala, Lolo na Molegbe chini yake.
Askofu mkuu wake amehamishiwa Kinshasa.
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 95,000, ambapo kati ya wakazi 1,232,000 (2016) Wakatoliki ni 646,000 (52.4%) katika parokia 34.
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Mbandaka-Bikoro kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |