Jimbo Katoliki la Budjala
Jimbo Katoliki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jimbo Katoliki la Budjala (kwa Kilatini Dioecesis Budjalaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Mbandaka-Bikoro.
Askofu wake ni Philibert Tembo Nlandu, C.I.C.M.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 50,000, ambapo kati ya wakazi 1,461,000 (2016) Wakatoliki ni 722,000 (49.5%) katika parokia 18.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Budjala kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |