Jimbo Katoliki la Isiro-Niangara
Jimbo Katoliki la Isiro-Niangara (kwa Kilatini Dioecesis Isirensis-Niangaraënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kisangani.
Askofu wake ni Julien Andavo Mbia.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 60,000, ambapo kati ya wakazi 1,638,782 (2016) Wakatoliki ni 996,465 (60.8%) katika parokia 23.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Isiro-Niangara kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |