Jimbo Kuu la Kisangani
Jimbo Kuu la Kisangani (kwa Kilatini Archidioecesis Kisanganiensis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa lina majimbo ya Bondo, Bunia, Buta, Doruma-Dungu, Isangi, Isiro-Niangara, Mahagi-Nioka na Wamba chini yake.
Askofu mkuu wake ni Marcel Utembi Tapa.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 150,000, ambapo kati ya wakazi 1,841,000 (2016) Wakatoliki ni 975,000 (53%) katika parokia 32.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Kisangani kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |