Jimbo Katoliki la Lolo
Jimbo Katoliki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jimbo Katoliki la Lolo (kwa Kilatini Dioecesis Loloënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Mbandaka-Bikoro.
Askofu wake ni Jean-Bertin Nadonye Ndongo, O.F.M.Cap.
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 10,000, ambapo kati ya wakazi 229,244 (2016) Wakatoliki ni 190,540 (83.1%) katika parokia 10.
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Lolo kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |