Jimbo Katoliki la Molegbe
Jimbo Katoliki la Molegbe (kwa Kilatini Dioecesis Molegbensis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Mbandaka-Bikoro.
Askofu wake ni Dominique Bulamatari.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 79,000, ambapo kati ya wakazi 1,596,214 (2016) Wakatoliki ni 857,763 (53.7%) katika parokia 24.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Molegbe kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |