Jimbo Katoliki la Mweka
Jimbo Katoliki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jimbo Katoliki la Mweka (kwa Kilatini Dioecesis Mvekaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kananga.
Askofu wake ni Oscar Nkolo Kanowa, C.I.C.M.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 21,700, ambapo kati ya wakazi 873,000 (2016) Wakatoliki ni 365,000 (41.8%) katika parokia 14.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Mweka kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |