Jimbo Kuu la Kananga
Jimbo kuu la Kikatoliki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jimbo Kuu la Kananga (kwa Kilatini Archidioecesis Kanangana) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa lina majimbo ya Kabinda, Kole, Luebo, Luiza, Mbujimayi, Mweka na Tshumbe chini yake.
Askofu mkuu wake ni Marcel Madila Basanguka.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 33,000, ambapo kati ya wakazi 3,156,000 (2016) Wakatoliki ni 2,160,000 (68.4%) katika parokia 70.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Kananga kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |