Jimbo Katoliki la Tshumbe
Jimbo Katoliki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jimbo Katoliki la Tshumbe (kwa Kilatini Dioecesis Mbugimayensis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kananga.
Askofu wake ni Nicolas Djomo Lola.
Historia
haririUongozi
haririTakwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 60,000, ambapo kati ya wakazi 1,424,060 (2017) Wakatoliki ni 401,407 (28.2%) katika parokia 21.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Tshumbe kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |