Jimbo Katoliki la Wamba
Jimbo Katoliki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jimbo Katoliki la Wamba (kwa Kilatini Dioecesis Wambaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kisangani.
Askofu wake ni Janvier Kataka Luvete.
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 68,000, ambapo kati ya wakazi 629,110 (2017) Wakatoliki ni 181,340 (28.8%) katika parokia 19.
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Wamba kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |