Jimbo Katoliki la Geita
(Elekezwa kutoka Jimbo katoliki la Geita)
Jimbo katoliki la Geita (kwa Kilatini "Dioecesis Geitaensis") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Mwanza.
Askofu wake ni Flavian Kassala.
Historia
haririUongozi
hariri- Maaskofu wa Geita
- Flavian Kassala (tangu 28 Aprili 2016)
- Damian Dalu (14 Aprili 2000 - 14 Machi 2014)
- Aloysius Balina (1984 – 1997)
Takwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 41,311, ambapo kati ya wakazi 1,908,000 (2006) Wakatoliki ni 398,000 (20.9%).
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Geita kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |