13 Julai
tarehe
(Elekezwa kutoka Julai 13)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 13 Julai ni siku ya 194 ya mwaka (ya 195 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 171.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1590 - Papa Klementi X
- 1608 - Kaisari Ferdinand III wa Ujerumani
- 1934 - Wole Soyinka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1986
- 1942 - Harrison Ford, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1954 - Sezen Aksu, mwanamuziki kutoka Uturuki
- 1965 - Eric Freeman, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1977 - Ashley Scott, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1977 - Kari Wahlgren, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 939 - Papa Leo VII
- 1024 - Mtakatifu Henri II, Kaisari wa Ujerumani
- 1870 - Mtakatifu Klelia Barbieri, bikira kutoka Italia
- 1921 - Gabriel Lippmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1908
- 1954 - Frida Kahlo, mchoraji kutoka Mexiko
- 1974 - Patrick Blackett, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1948
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Henri II, Ezra, Sila, Serapioni wa Aleksandria, Mirope wa Kio, Aleksanda wa Filomelio na wenzake, Eugenius wa Karthago, Turiavo wa Dol, Klelia Barbieri, Paulo Liu Jinde, Yosefu Wang Guiji n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 13 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |