14 Machi
tarehe
(Elekezwa kutoka Machi 14)
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 14 Machi ni siku ya 73 ya mwaka (ya 74 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 292.
Matukio
hariri- 1800 - Uchaguzi wa Papa Pius VII
Waliozaliwa
hariri- 1854 - Paul Ehrlich, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1908
- 1854 - Thomas Marshall, Kaimu Rais wa Marekani
- 1879 - Albert Einstein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1921
- 1905 - Raymond Aaron, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 1933 - Quincy Jones, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1979 - Nicolas Anelka, mchezaji wa mpira kutoka Ufaransa
- 1989 - Colby O'Donis, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1990 - Zakaria Kibona, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania
Waliofariki
hariri- 968 - Mtakatifu Matilda wa Ringelheim, malkia wa Ujerumani
- 1932 - Frederick Jackson Turner, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1995 - William Fowler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1983
Sikukuu
hariri- Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Aleksanda wa Pidna, Lazaro wa Milano, Leobini, Matilda wa Ringelheim, Paulina wa Fulda n.k.
- Wanahisabati kadhaa duniani husheherekea sikukuu ya Π (tamka: pi) kutokana na namna ya Kimarekani ya kuandika tarehe hii 3-14 ambayo ni chanzo cha namba Π.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 3 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 14 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |