23 Aprili
tarehe
(Elekezwa kutoka Aprili 23)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 23 Aprili ni siku ya 113 ya mwaka (ya 114 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 252.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1791 - James Buchanan, Rais wa Marekani (1857-1861)
- 1858 - Max Planck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1918
- 1867 - Johannes Fibiger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1926
- 1897 - Lester Pearson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1957, na Waziri mkuu wa Kanada (1963-1968)
- 1902 - Halldor Laxness, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1955
- 1942 - Étienne Balibar, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 1973 - Marcela Pezet, mwigizaji filamu na tamthilia kutoka Mexiko
- 1977 - John Cena, mwanamweleka, mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 997 - Mtakatifu Adalbert wa Prague, askofu mmisionari na mfiadini kutoka Ucheki
- 1616 - Washairi Mwingereza William Shakespeare na Mhispania Miguel de Cervantes walikufa wote tarehe 23 Aprili 1616 ingawa Shakespeare alikufa siku 11 baada ya Cervantes - lakini mmoja alikufa nchini Hispania (kalenda ya Gregori) na mwingine nchini Uingereza (bado kalenda ya Juliasi)
- 1850 - William Wordsworth, mwandishi kutoka Uingereza
- 1951 - Charles Dawes, mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1925
- 2007 - Boris Yeltsin, Rais wa Urusi (1991-1999)
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Joji, Adalbert wa Prague, Eulogi wa Edessa, Marolo wa Milano, Jeradi wa Toul, Joji wa Suelli n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 23 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |