10 Februari
tarehe
(Elekezwa kutoka Februari 10)
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 10 Februari ni siku ya arubaini na moja ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 324 (325 katika miaka mirefu).
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1890 - Boris Pasternak, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1958
- 1897 - John Enders, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954
- 1902 - Walter Brattain, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1956
- 1910 - Padre Dominique Pire, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1958
- 1982 - Nadir Haroub Ali, mchezaji mpira kutoka Tanzania
- 1990 - Sooyoung, mwigizaji wa filamu na mwanamuziki kutoka Korea Kusini
Waliofariki
hariri- 542 - Mtakatifu Skolastika, bikira kutoka Italia
- 1242 - Shijo, mfalme mkuu wa Japani (1232-1242)
- 1829 - Papa Leo XII
- 1837 - Aleksander Pushkin, mwandishi kutoka Urusi
- 1897 - Sewa Haji, mfanyabiashara kutoka Bagamoyo
- 1918 - Ernesto Teodoro Moneta, mwandishi Mwitalia, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1907
- 1923 - Wilhelm Conrad Röntgen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1901
- 1939 - Papa Pius XI
- 1956 - Leonora Speyer, mshairi wa kike kutoka Marekani
- 1992 - Alex Haley, mwandishi kutoka Marekani
- 2000 - Jim Varney, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 2005 - Arthur Miller, mwandishi kutoka Marekani
- 2024 - Edward Ngoyai Lowassa, waziri mkuu wa Tanzania
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Skolastika, Karalampo na wenzake, Zotiko na Amansyo, Silvano wa Terracina, Troiani wa Saintes, Protadi, Austreberta, Wiliamu wa Malavalle, Yosefu Sanchez n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 13 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 10 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |