15 Januari
tarehe
(Elekezwa kutoka Januari 15)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 15 Januari ni siku ya kumi na tano ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 350 (351 katika miaka mirefu).
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1811 - Mtakatifu Yosefu Cafasso, padri nchini Italia
- 1866 - Nathan Söderblom, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1930
- 1895 - Artturi Ilmari Virtanen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1945
- 1909 - Gene Krupa, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1929 - Martin Luther King, Jr., mchungaji na mwanaharakati kutoka Marekani
- 1941 - Captain Beefheart, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1947 - Martin Chalfie, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2008
- 1950 - Anna Valerian Komu, mwanasiasa wa Tanzania
- 1954 - Saning'o Kaika Ole Telele, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
hariri- 69 - Galba, Kaisari wa Dola la Roma
- 584 - Mtakatifu Mauro, abati Mbenedikto
- 1648 - Mtakatifu Fransisko Ferdinando de Capillas, O.P., padri kutoka Hispania aliyekuwa wa kwanza kufia dini ya Ukristo nchini China
- 1909 - Mtakatifu Arnold Janssen, padre Mkatoliki kutoka Ujerumani
- 1966 - Ahmadu Bello, mwanasiasa wa Nigeria
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Sekondina wa Anagni, Yohane Kalibita, Ita wa Cluain, Probo wa Rieti, Mauro abati, Tarsisia wa Rodez, Emebati, Malardo, Romedi, Bonito wa Lyon, Arseni wa Armo, Fransisko Fernandez de Capillas, Arnold Janssen n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 15 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |