Jimbo Katoliki la Kabgayi
Jimbo katoliki la Kabgayi (kwa Kilatini "Dioecesis Kabgayensis") ni mojawapo kati ya majimbo 9 ya Kanisa Katoliki nchini Rwanda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Kigali.
Askofu wake ni Smaragde Mbonyintege.
Historia hariri
Uongozi hariri
Takwimu hariri
Eneo ni la kilometa mraba 2,187, ambapo kati ya wakazi 969,668 (2006) Wakatoliki ni 596,596 (61.5%).
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kabgayi kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |