Jimbo Katoliki la Mogadishu
Jimbo Katoliki la Mogadishu (kwa Kilatini "Dioecesis Mogadiscensis") ni jimbo pekee la Kanisa Katoliki nchini Somalia na linafuata mapokeo ya Kiroma.
Makao makuu yake yako Mogadishu.
Kanisa kuu lilibomolewa kabisa mwaka 2008 na Waislamu walio jirani na Al-Qaeda
Askofu wa mwisho alikuwa Pietro Salvatore Colombo, O.F.M., aliyeuawa mwaka 1989.
Takwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 637,657, ambapo kati ya wakazi 9,500,000 (2016) Wakatoliki ni 100 (0%).
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Mogadishu kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |