Jimbo Katoliki la Torit
Jimbo la Torit (kwa Kilatini Dioecesis Toritensis) ni mojawapo kati ya majimbo 7 ya Kanisa Katoliki nchini Sudan Kusini na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Yote yanaunda kanda ya Kanisa yenye makao makuu katika Jimbo Kuu la Juba.
Askofu wake wa mwisho amefariki mwaka 2013 na tangu hapo jimbo halina mwingine. .
Takwimu
haririEneo la jimbo lina kilometa mraba 76,000, ambapo kati ya wakazi 891,000 (2010) Wakatoliki ni 682,000 (sawa na 76.5%). Parokia ziko 19, mapadri ni 54 na watawa 43,