28 Julai
tarehe
(Elekezwa kutoka Julai 28)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 28 Julai ni siku ya 209 ya mwaka (ya 210 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 156.
Matukio
hariri- 1914: Austria-Hungaria inatangaza hali ya vita dhidi ya Serbia; ndio mwanzo wa Vita vikuu vya kwanza
Waliozaliwa
hariri- 1904 - Pavel Cherenkov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958
- 1915 - Charles Townes, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964
- 1925 - Baruch Blumberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1976
- 1927 - John Ashbery, mshairi kutoka Marekani
- 1929 - Shirley Ann Grau, mwandishi kutoka Marekani
- 1951 - Santiago Calatrava, msanifu majengo na mhandisi kutoka Hispania
- 1987 - Pedro Rodríguez Ledesma, mchezaji wa mpira kutoka Hispania
Waliofariki
hariri- 450 - Theodosius II, Kaizari wa Dola la Roma Mashariki (408-450)
- 1057 - Papa Viktor II
- 1741 - Antonio Vivaldi, mtunzi wa muziki kutoka Italia
- 1750 - Johann Sebastian Bach, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1930 - Allvar Gullstrand, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1911
- 1946 - Mtakatifu Alfonsa Matathupadathu, bikira Mfransisko kutoka India
- 1968 - Otto Hahn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1944)
- 1969 - Frank Loesser, mtunzi kutoka Marekani
- 2002 - A.J.P. Martin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952
- 2004 - Francis Crick, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 2008 - Wendo Kolosoy, mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Prokoro, Nikanori, Timone, Parmena, Nikola wa Antiokia, Papa Viktori I, Wafiadini wa Thebe, Akasi wa Mileto, Nazari na Chelsi, Kameliano, Samsoni wa Dol, Botvidi, Melkiori García Sampedro, Petro Poveda, Yakobo Hilari Barbal, Alfonsa Matathupadathu n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 28 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |