28 Juni
tarehe
(Elekezwa kutoka Juni 28)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 28 Juni ni siku ya 179 ya mwaka (ya 180 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 186.
Matukio
hariri- 1243 - Uchaguzi wa Papa Inosenti IV
- 1914 - Kaisari-mteule Ferdinand wa Austria kuuawa mjini Sarajevo - kusababisha Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia
- 1919 - Mkataba wa Versailles kusainiwa - mwisho wa Vita Kuu ya Kwanza kati ya Ujerumani na washindi
Waliozaliwa
hariri- 1243 - Go-Fukakusa, mfalme mkuu wa Japani (1246-1259)
- 1476 - Papa Paulo IV
- 1577 - Peter Paul Rubens, mchoraji kutoka Uholanzi
- 1712 - Jean-Jacques Rousseau, mwanafalsafa kutoka Ufaransa
- 1867 - Luigi Pirandello, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1934)
- 1873 - Alexis Carrel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1912)
- 1906 - Maria Goeppert-Mayer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963)
- 1927 - Sherwood Rowland, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1995)
- 1930 - William Campbell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2015)
- 1943 - Klaus von Klitzing, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1985)
Waliofariki
hariri- 767 - Mtakatifu Papa Paulo I
- 1836 - James Madison, Rais wa Marekani (1809-1817)
- 2005 - Geoffrey William Griffin, mkurugenzi mwanzilishi wa Shule ya Upili ya Wavulana ya Starehe, Kenya
- 2009 - Billy Mays, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za Mtakatifu Ireneo, Plutarko, Potamiena na wenzao, Papa Paulo I, Argimiro, Heimo, Yohane Southworth, Vinchensya Gerosa, Lusia Wang Cheng, Maria Fan Kun, Maria Qi Yu, Maria Zheng Xu, Maria Du Zhauzhi n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 28 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |