Uislamu nchini Burkina Faso

Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Burkina Faso (zamani Volta ya Juu) una historia ndefu sana.

Msikiti Mkubwa huko mjini Bobo-Dioulasso, Burkina Faso

Kulingana na sensa iliyofanywa mwaka wa 2006, idadi ya Waislamu nchini humo ni 60.53%.[1] Ijapokuwa idadi kubwa wa Waislamu wa huko ni wa madhehebu ya Sunni wanaomfuata Maliki, madhehebu mengine kama vile ya Shia na Ahmadiyya nayo yanao baadhi ya wafuasi.[2]

Tanbihi hariri

  1. "“Les principaux tableaux du recensement general de la population et de l'habitation 2006,” Institut National de la Statistique et de la Démographie, Ministère de l'économie et des finances, July 2008.". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2014-12-20. 
  2. Breach of Faith. Human Rights Watch. June 2005. uk. 8. Iliwekwa mnamo May 31, 2014. Estimates of around 20 million would be appropriate  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Marejeo hariri

  • Ira M. Lapidus, A History of Islamic Societies 2nd Ed. 1988