Orodha ya Urithi wa Dunia katika Afrika
Makala ya orodha ya Wikimedia
(Elekezwa kutoka Urithi wa Dunia barani Afrika)
Makala hii inaorodhesha vituo 150 vilivyotajwa na UNESCO kuwa mahali pa Urithi wa Dunia katika Afrika (nchi 37 tu).
Mahali
haririLegend mwaka - Aina ya mahali - jina la mahali
- mwaka: wakati ambao mahali paliwekwa katika Orodha ya Urithi wa Dunia
- aina ya mahali: sifa ya mahali kama ni uasilia , utamaduni au mchanganyiko
- jina la mahali: ni jina palilopewa mahali
Afrika Kusini
hariri- 1999 - Utamaduni - Kitovu cha mwanadamu.
- 1999 - Utamaduni - Robben Island.
- 1999 - Asili - ISimangaliso Wetland Park.
- 2003 - Utamaduni - SMapungubwe.
- 2004 - Asili - Cape maarufu kwa maua.
- 2005 - Asili - Vredefort Dome.
- 2007 - Utamaduni - Richtersveld.
- 2017 - Utamaduni - Mazingira ya Wakhomani.
- 2018 - Asili - Milima ya Barberton Makhonjwa.
-
Kitovu cha mwanadamu
-
Robben Island
-
ISimangaliso Wetland Park
-
Mapungubwe
-
Cape maarufu kwa maua
-
Vredefort Dome.
-
Richtersveld
Algeria
hariri- 1992 - Utamaduni - Kasbah ya Aljeri.
- 1982 - Asili - Timgad.
- 1982 - Utamaduni - M'Zab.
- 1986 - Mchanganyiko - Tassili n'Ajjer.
- 1980 - Utamaduni - Ngome ya Beni Hammad.
- 1982 - Utamaduni - Djemila.
- 1982 - Utamaduni - Tipasa.
-
Kasbah ya Aljeri
-
Timgad
-
Vallée du M'Zab
-
Tassili n'Ajjer
-
Kituo cha kiakiolojia cha Kalâa
-
Djemila
Angola
hariri- 2017 - Utamaduni - Mbanza Kongo.
Benin
hariri-
Makumbusho ya Historia ya Abomey
Benin*, Burkina Faso*, Niger*
hariri- 2017 - Asili - Hifadhi za Taifa za (W, Arly na) Pendjari.
Botswana
hariri-
Delta ya Okavango
-
Mahali pa akiolojia pa Tsodilo
Burkina Faso
hariri-
Magofu ya Loropéni
Cameroon
hariri- 1987 - Asili - Hifadhi ya Wanyama ya Dja.
-
Mto Dja na mitumbwi
Cameroon*, Jamhuri ya Afrika ya Kati*, Jamhuri ya Kongo*
hariri- 2012 - Asili - Misitu ya Nchi Tatu ya Sangha.
-
Misitu ya Nchi Tatu ya Sangha
Cape Verde
hariri- 2009 - Utamaduni - Mji wa Kale.
-
Mji wa Kale
Chad
hariri- 2012 - Asili - Maziwa Ounianga.
- 1986 - Mchanganyiko - Milima ya Ennedi.
-
Maziwa Ounianga.
-
Milima ya Ennedi
Côte d'Ivoire
hariri- 1982 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Taï.
- 2012 - Utamaduni - Grand-Bassam.
- 1983 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Comoé In danger †.
-
Hifadhi ya Taifa ya Taï.
-
Grand-Bassam
-
Hifadhi ya Taifa ya Comoé
Côte d'Ivoire*, Guinea*
hariri- 1981 - Asili - Mount Nimba Strict Nature Reserve †.
-
Mount Nimba Strict Nature Reserve
Eritrea
haririEthiopia
hariri- 1980 - Utamaduni - Bonde la Awash.
- 1978 - Utamaduni - Makanisa yaliyochongwa mwambani, Lalibela.
- 1979 - Utamaduni - Fasil Ghebbi.
- 1978 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Semien †
- 2006 - Utamaduni - Harar Jugol.
- 1980 - Utamaduni - Bonde la Omo.
- 2011 - Utamaduni - Mazingira ya Utamaduni Konso.
- 1980 - Utamaduni - Tiya.
- 1980 - Utamaduni - Aksum.
-
Kanisa la Mt. Joji, Lalibela
-
Palace Fasilides
-
Milima Simien
-
Ngome ya mji wa Harar
-
Waga
-
Mandhari ya Tiya
-
Aksum
Gabon
hariri- 2007 - Mchanganyiko - Hifadhi ya Taifa ya Lopé
-
Hifadhi ya Taifa ya Lopé
Gambia
hariri- 2003 - Utamaduni - Kisiwa Kunta Kinteh
-
Baali Gambia
Gambia*, Senegal*
hariri- 2006 - Utamaduni - Stone Circles Senegambia
-
Senegambia
Ghana
hariri-
Ngome
-
Ramani ya kituo cha Ashanti
- 1986 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Garajonay
- 2007 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Teide
- 1999 - Utamaduni - San Cristóbal de La Laguna
-
Hifadhi ya Taifa ya Garajonay
-
Hifadhi ya Taifa ya Teide
-
laguna
Jamhuri ya Afrika ya Kati
hariri- 1988 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Manovo-Gounda St Floris †.
-
Hifadhi ya Taifa ya Manovo-Gounda St Floris
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
hariri- 1996 - Asili - Hifadhi ya Wanyamapori ya Okapi †.
- 1980 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Kahuzi-Biega †.
- 1984 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Salonga †.
- 1979 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Virunga †.
- 1980 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Garamba †.
-
Okapi Wildlife Reserve
-
Gorilla
-
Mto Lulilaka
-
Nyiragongo
-
Hifadhi ya Taifa ya Garamba
Kenya
hariri- 1997 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kenya
- 2008 - Utamaduni - Misitu mitakatifu Wamijikenda Kaya
- 1997 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Turkana
- 2001 - Utamaduni - Lamu
- 2011 - Utamaduni - Fort Jesus
- 2011 - Asili - Kenya Lake System katika Bonde la Ufa
- 2018 - Utamaduni - Thimlich Ohinga
-
Mlima Kenya
-
Misitu mitakatifu Wamijikenda Kaya
-
Côte Lamu
-
Ngome ya Yesu
Lesotho*, Afrika Kusini*
hariri- 2000 - Mchanganyiko - Maloti-Drakensberg Park
-
Maloti-Drakensberg Park
Libya
hariri- 1985 - Utamaduni - Tadrart Acacus †
- 1986 - Utamaduni - Ghadamès †
- 1982 - Utamaduni - Kurene †
- 1982 - Utamaduni - Leptis Magna †
- 1982 - Utamaduni - Sabratha †
-
Tadrart Acacus
-
Ghadamès
-
Kurene
-
Leptis Magna
-
Sabratha
Madagaska
hariri- 2001 - Utamaduni - Ambohimanga
- 2007 - Asili - Mvua ya Atsinanana †
- 1990 - Asili - Tsingy de Bemaraha Nature Reserve
-
Ambohimanga
-
Mvua ya Atsinanana
-
Tsingy de Bemaraha Nature Reserve
Malawi
hariri- 1984 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Malawi
- 2006 - Utamaduni - Chongoni Rock Art Area
-
Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Malawi
-
Chongoni Rock Art Area
Mali
hariri- 1989 - Mchanganyiko - Cliff ya Bandiagara
- 1988 - Utamaduni - Djenné †
- 2004 - Utamaduni - Kaburi la Askia †
- 1988 - Utamaduni - Timbuktu †
-
Cliff ya Bandiagara
-
Djenné
-
Kaburi la Askia
-
Timbuktu
Mauritania
hariri- 1989 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Banc d'Arguin
- 1996 - Utamaduni - Oualata
-
Hifadhi ya Taifa ya Banc d'Arguin
-
Oualata
- 1979 - Utamaduni - Abu Mena †.
- 1979 - Utamaduni - Makaburi Wanubi
- 1979 - Utamaduni - Islamic Cairo.
- 2005 - Asili - Wadi Al-Hitan
- 1979 - Utamaduni - Piramidi za Giza
- 1979 - Utamaduni - Thebe ya Kale.
- 2002 - Utamaduni - Monasteri ya Mt. Katerina kwenye Sinai.
-
Abu Mena
-
Makaburi Wanubi
-
Islamic Cairo.
-
Mifupa ya Whale
-
Piramidi za Giza
-
Thebe ya Kale
-
Monasteri ya Mt. KaterinA
Morisi
hariri-
Aapravasi Ghat
-
Morne Brabant
Moroko
hariri- 1987 - Utamaduni - Aït-ben-Haddou
- 2004 - Utamaduni - El Jadida
- 2001 - Utamaduni - Essaouira
- 1981 - Utamaduni - Fès el-Bali
- 1985 - Utamaduni - Marrakech
- 1996 - Utamaduni - Meknès
- 1997 - Utamaduni - Archaeological Site ya Volubilis
- 2012 - Utamaduni - Mji wa kisasa na mji wa kihistoria: urithi pamoja
- 1997 - Utamaduni - Tétouan
-
Aït-ben-Haddou
-
El Jadida
-
Essaouira
-
Fès el-Bali
-
Marrakech
-
Meknès
-
Kituo cha akiolojia cha Volubilis
-
Ikulu ya mfalme
-
Tétouan
Msumbiji
hariri- 1991 - Utamaduni - Kisiwa cha Mozambique
-
Kisiwa cha Mozambique
Namibia
hariri- 2007 - Utamaduni - Twyfelfontein
- 2013 - Asili - Jangwa la Namib
-
Twyfelfontein
-
Jangwa la Namib
Niger
hariri- 1991 - Asili - Hewa na Tenere National Nature Reserve †
- 1996 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya W ya Niger
- 2013 - Utamaduni - Agadez
-
Hewa na Tenere National Nature Reserve
-
Hifadhi ya Taifa ya W ya Niger
-
Agadez
Nigeria
hariri-
Sukur Utamaduni Landscape
-
Osun-Oshogbo
Senegal
hariri- 1978 - Utamaduni - Kisiwa cha Goree
- 1981 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Niokolo-Koba †
- 2000 - Utamaduni - Saint-Louis
- 1981 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Bird Sanctuary
- 2011 - Utamaduni - Hifadhi ya Taifa ya Saloum Delta
- 2012 - Utamaduni - Kibasari nchi
-
Kisiwa cha Goree
-
Saint-Louis
-
Kisiwa Djoudj
-
Hifadhi ya Taifa ya Saloum Delta
-
Kijiji Bedik
Shelisheli
hariri-
Aldabra
-
Vallée de Mai
Sudan
hariri-
Gebel Barkal
-
Méroé
Tanzania
hariri- 1981 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Serengeti
- 1979 - Mchanganyiko - Ngorongoro
- 1987 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro
- 1981 - Utamaduni - Kilwa Kisiwani na Songo Mnara
- 2006 - Utamaduni - Michoro ya Kondoa
- 1982 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Nyerere †
- 2000 - Utamaduni - Stone Town
-
Vifaru weusi
Togo
hariri- 2004 - Utamaduni - Koutammakou
-
Nyumba
Tunisia
hariri- 1997 - Utamaduni - Dougga
- 1980 - Asili - Ichkeul
- 1979 - Utamaduni - Kiwanja cha michezo cha El Jem
- 1988 - Utamaduni - Kairouan
- 1985 - Utamaduni - Kerkouane
- 1988 - Utamaduni - Sousse
- 1979 - Utamaduni - Madina ya Tunis
- 1979 - Utamaduni - Karthago
-
Dougga
-
Lac Ichkeul
-
Kiwanja cha michezo cha El Jem
-
Kairouan
-
Kerkouane
-
Sousse
-
Madina ya Tunis
-
Magofu ya Karthago
- 1995 - Asili - Kisiwa Inaccessible
-
kisiwa Inaccessible
- 2010 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Réunion
-
Réunion
Uganda
hariri- 1994 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Milima Rwenzori
- 1994 - Asili - Bwindi impenetrable Forest
- 2001 - Utamaduni - Makaburi ya Kasubi †
-
Milima Rwenzori
-
Bwindi
-
Makaburi ya Kasubi
- 1999 - Asili - Laurisylve
-
Laurisylve
Zambia*, Zimbabwe*
hariri- 1989 - Asili - Maporomoko ya Victoria Falls
-
Victoria falls
Zimbabwe
hariri- 1986 - Utamaduni - Zimbabwe Kuu
- 1984 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Mana Pools
- 2003 - Utamaduni - Hifadhi ya Taifa ya Matobo
- 1986 - Utamaduni - Khami
-
Zimbabwe Kuu
-
Rivière
-
Hifadhi ya Taifa ya Matobo
-
Khami
Tanbihi
haririMaelezo
hariri- ↑ Hispania: maeneo haya yako kaskazini mwa Afrika.
- ↑ Kwa Misri upande wa Afrika tu.
- ↑ Kwa Ufalme wa Muungano: Saint Helena.
- ↑ Kwa Ufaransa: Reunion.
- ↑ Kwa Ureno: Laurisylve.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Orodha ya Urithi wa Dunia katika Afrika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |