Alois Maria wa Montfort

Alois Maria wa Montfort (Montfort-sur-Meu, Ufaransa, 31 Januari 1673 - Saint-Laurent-sur-Sèvre, 28 Aprili 1716)

Mt. Louis-Marie Grignion de Montfort.

Alikuwa padri maarufu kwa mahubiri na maandishi yake, ambayo mpaka leo yanazidi kuathiri Kanisa Katoliki hasa upande wa heshima kwa Bikira Maria katika maisha ya kiroho.

Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri mwaka 1888, halafu Papa Pius XII alimtangazwa mtakatifu mwaka 1947.

Ni mwanzilishi wa mashirika matatu ya kitawa: Shirika la Maria, Mabinti wa Hekima na Mabruda wa Mt. Gabriel. .

Tazama piaEdit

Marejeo ya KiswahiliEdit

  • Mt. Louis-Marie Grignon wa Montfort – tafsiri ya A. Nyenza, B.F. – ed. Mabratha wa Montfort wa Mt. Gabriel Tanzania -2000

Marejeo mengineEdit

Vitabu vyake
  • de Montfort, St. Louis. Preparation for Total Consecration according to the Method of St. Louis de Montfort. Bay Shore NY: Montfort Publications, 2001.
  • de Montfort, St. Louis. God Alone: The Collected Writings of St. Louis Marie De Montfort Montfort Publications, 1995 ISBN 0910984557
Maisha yake
  • Biography of Saint Louis de Montfort [1]
  • Biography of Saint Louis de Montfort [2]
  • Doherty, Eddie. Wisdom's Fool: A biography of St. Louis de Montfort. Bay Shore NY: Montfort Publications, 1993.
  • Fiores, Stefano Dictionnaire de Spiritualité Montfortaine. (1360 pag.)Novalis, 1994
  • Raja Rao, Joseph The Mystical Experience and Doctrine of St. Louis-Marie Grignion de Montfort Loyola Press, 2005, ISBN 9788878390300
Hati za Papa Yohane Paulo II
  • Pope John Paul II on de Montfort [3]

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alois Maria wa Montfort kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.