Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sahara
(Elekezwa kutoka Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi)
| |||
Wito: Uhuru, Demokrasia, Umoja | |||
Lugha rasmi | Ḥassānīya Kiarabu na Kihispania | ||
Mji mkuu na mji mkubwa | Laâyoune – (kwa maandishi ya Kimoroko: (El Aaiún, al-'uyūn)) | ||
Rais (serikali ya nje) | Brahim Ghali | ||
Waziri mkuu (serikali ya nje) | Abdelkader Taleb Oumar | ||
Eneo - jumla - % maji |
266,000 km² --- | ||
Wakazi - Jumla - Wakazi/km² |
267,405 (Julai 2004 kadirio) 1/km² | ||
Uhuru - Imetangazwa - Imetawaliwa |
Kutoka Hispania 27.02.1976 na Moroko | ||
Pesa | Dirham ya Moroko Dirham (MAD) | ||
Wakati | UTC 0 | ||
Wimbo wa Taifa | Yābaniy Es-Saharā (listen Ilihifadhiwa 7 Machi 2008 kwenye Wayback Machine.) |
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sahara ni jina rasmi la dola ambalo liko hasa nje ya eneo lake la Sahara ya Magharibi.
Serikali yake inatawala kanda la mashariki ya nchi, nje ya ukuta wa Kimoroko na makambi ya wakimbizi 155,000 ndani ya Algeria.
Jamhuri ilitangazwa na chama cha Polisario mwaka 1976 baada ya kuondoka kwa Hispania katika koloni lake la awali. Lakini sehemu kubwa ya eneo ilivamiwa mara na kutawaliwa na Moroko hadi leo.
Serikali imo mikononi mwa Polisario. Rais ya Jamhuri ni Katibu Mkuu wa Polisario Mohamed Abdelaziz. Nchi 53 zimekubali kuitambua Jamhuri kuwa nchi huru.
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sahara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |