Jimbo Katoliki la Mafinga

Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Jimbo Katoliki la Mafinga (kwa Kilatini "Dioecesis Mafingensis") ni mojawapo kati ya majimbo 35 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Makao makuu yake yako Mafinga katika mkoa wa Iringa, lakini linaenea pia katika mkoa wa Mbeya (bonde la Usangu).

Kanisa kuu limewekwa wakfu kwa Kupalizwa Bikira Maria Mwenye Heri.

Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Mbeya.

Askofu wake wa kwanza ni Vincent Cosmas Mwagala.

Historia

hariri

Takwimu

hariri

Wakati wa kuanzishwa, eneo lake lilikuwa la kilometa mraba 11,016, ambapo kati ya wakazi 617,770, Wakatoliki ni 236,299 (38.3%) katika parokia 17. Mapadri ni 41, wakiwemo wanajimbo 30 na watawa 11. Kwa wastani kila mmoja anahudumia waamini 5,763. Mabruda ni 5 na masista 136.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Mafinga kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.