Uislamu nchini Mali

Uislamu nchini Mali ndiyo dini inayoongoza. Waislamu kwa sasa wanakadiriwa kuwa asilimia 90 ya jumla ya wakazi wote wa nchini Mali.

Msikiti Mkubwa wa Djenné, moja kati ya majengo makubwa ya udongo duniani, hutazamiwa kama mtindo bab-kubwa wa ujenzi wa Sudano-Saheli. Msikiti wa kwanza katika eneo hili ulijengwa tangu karne ya 13; muundo wa sasa umeanzia 1907. Hapa pamoja na jiji la Djenné, palichaguliwa kuwa kama sehemu ya Urithi wa Dunia na UNESCO
Uislamu kwa nchi

Sehemu kubwa ya Waislamu wa Mali ni wale wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya Imamu Maliki, wenye athira ya Usufii.[1]Matawi ya Ahmadiyya na Shia nayo yapo.[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "International Religious Freedom Report 2005 - Mali". Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor - US Department of State. Iliwekwa mnamo 2009-06-25. 
  2. "The World's Muslims: Unity and Diversity". Pew Forum on Religious & Public life. August 9, 2012. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-24. Iliwekwa mnamo August 14, 2012.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Marejeo hariri