Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

VIWAWA (kifupisho cha Vijana Wakatoliki Wafanyakazi; kwa Kiingereza: Young Christian Workers (YCW; kwa Kifaransa: Jeunesse ouvrière chrétienne) ni chama cha kitume cha Kanisa Katoliki. Makao makuu yako Brussels.

Vijana wa chama hicho wanapatikana kwenye parokia nyingi ulimwenguni[1] na wana umri wa kuanzia miaka 18 hadi 35.

Chama kilianzishwa na padri Joseph Cardijn huko Ubelgiji kikapewa jina hilo mwaka 1924. Kifupisho cha jina la Kifaransa JOC kikawa chanzo cha maneno ya Kiingereza Jocism na Jocist[2].

Mwaka 1925 chama kilipata idhini ya Papa Pius XI, na kuanzia mwaka 1926 kimeenea katika nchi walau 51, ikiwemo Tanzania.

Mwaka 1957 kilikuwa na mkutano wa kwanza wa kimataifa huko Roma.

Cardijn aliendelea kukishughulikia maisha yake yote, akafanywa askofu na kardinali mwaka 1965.

Tanbihi hariri

  1. [1][dead link]
  2. "Jocism", Time, September 26, 1938. Retrieved on 2009-01-22. Archived from the original on 2010-08-26. 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu VIWAWA kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.