1 Juni
tarehe
(Elekezwa kutoka 1. 6.)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Juni ni siku ya 152 ya mwaka (ya 153 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 213.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1801 - Brigham Young, kiongozi wa Umormoni
- 1804 - Mikhail Glinka, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1917 - William Knowles, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2001
- 1926
- Andy Griffith
- Marilyn Monroe, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1937 - Morgan Freeman, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1940 - Rene Auberjonois
- 1955 - Chiyonofuji Mitsugu, mwanamiereka wa Japani
- 1956 - Lisa Hartman-Black
- 1957 - Yasuhiro Yamashita, mshindani wa Judo kutoka Japani
- 1968 - Jason Donovan
- 1971 - Ghil'ad Zuckermann, mtaalamu wa isimu
- 1974 - Alanis Morissette
- 1977 - Sarah Wayne Callies, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 193 - Didius Julianus, Kaisari wa Dola la Roma
- 1841 - Nicolas Appert, mvumbuzi Mfaransa
- 1846 - Papa Gregori XVI
- 1868 - James Buchanan, Rais wa Marekani (1857-1861)
- 1925 - Thomas Marshall, Kaimu Rais wa Marekani
- 1968 - Helen Keller, mwandishi asiyeweza kuona wala kusikia kutoka Marekani
- 1968 - Charles Howard McIlwain, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1979 - Werner Forssmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yustino mfiadini, Karitoni na wenzake, Amoni, Zeno na wenzao, Sahiruni na wenzake, Prokolo wa Bologna, Fortunati wa Montefalco, Kaprasi wa Lerins, Floro wa Clermont, Ronano, Wistani, Simeoni wa Siracusa, Eneko wa Onya, Yosefu Tuc, Yohane Mbatizaji Scalabrini, Anibale Maria di Francia n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |