22 Februari
tarehe
(Elekezwa kutoka Februari 22)
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 22 Februari ni siku ya hamsini na tatu ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 312 (313 katika miaka mirefu).
Matukio
hariri- 1288 - Uchaguzi wa Papa Nikolasi IV
Waliozaliwa
hariri- 1732 - George Washington, Rais wa kwanza wa Marekani
- 1788 - Arthur Schopenhauer, mwanafalsafa wa Ujerumani
- 1810 - Frédéric Chopin, mtunzi wa muziki kutoka Poland
- 1863 - Charles McLean Andrews, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1892 - Edna St. Vincent Millay, mshairi wa kike kutoka Marekani
- 1914 - Renato Dulbecco, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1975
- 1921 - Jean Bedel Bokassa, Rais (1966-1976) na Kaisari (1976-1979) wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
- 1936 - Michael Bishop, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1989
- 1952 - Kipkalya Kones, mwanasiasa wa Kenya
- 1953 - Viktor Kozin, mhandisi wa meli kutoka Urusi
- 1962 - Steve Irwin
- 1984 - Shukuru Kilala, muigizaji wa filamu kutoka Tanzania
Waliofariki
hariri- 606 - Papa Sabinian
- 1297 - Mtakatifu Margerita wa Cortona, Mfransisko wa Utawa wa Tatu
- 1512 - Amerigo Vespucci, mpelelezi kutoka Italia; Amerika inaitwa hivyo kwa heshima yake
- 1903 - Hugo Wolf, mtunzi wa opera kutoka Austria
- 1952 - Kaarlo Juho Stahlberg, Rais wa Ufini
- 1978 - Phyllis McGinley, mshairi kutoka Marekani
- 1987 - Andy Warhol, msanii kutoka Marekani
- 2002 - Jonas Savimbi, mwanasiasa wa Angola
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Ukulu wa Mt. Petro, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Papia wa Yerapoli, Paskasi wa Vienne, Masimiano wa Ravenna, Margerita wa Cortona n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 22 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |