Jimbo Katoliki la Mpanda

Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Jimbo Katoliki la Mpanda (kwa Kilatini "Dioecesis Mpandensis") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Tabora.

Tarehe 21 Desemba 2018 Askofu wake Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga alipandishwa cheo kuwa askofu mkuu wa Mbeya.

Badala yake tarehe 13 Mei 2020 ameteuliwa askofu Eusebius Alfred Nzigilwa, ambaye kwa miaka 10 alikuwa askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Ametawazwa tarehe 2 Agosti 2020.

Historia

hariri
  • 2000: Kuanzishwa kwa jimbo la Mpanda kutokana na jimbo la Tabora

Uongozi

hariri
  • Maaskofu wa Mpanda
    • Eusebius Alfred Nzigilwa (2020 - )
    • Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga (2014 - 2018 alipohamishwa)
    • William Pascal Kikoti (2000 - 2012 alipofariki)

Takwimu

hariri

Eneo ni la kilometa mraba 46,346, ambapo kati ya wakazi 609,327 (2016) Wakatoliki ni 329,622 (54.1%).

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Mpanda kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.